RIWAYA;Briefcase Sehemu ya 3

whatswapp:0756920739 Sehemu Ya Tatu Ilikuwa imepita miezi mitatu tangu litokee lile tukio katika jengo la RITA. Alex aliendelea na biashara zake za kuuza viatu bila ya bughudha yoyote ile. Hakupigiwa tena wala kutumiwa meseji tena na ile namba. Aliendelea na maisha yake akiwa anaishi palepale, katika nyumba ya kupanga Mbagala maji matitu. Pamoja na kupita […]

Read More RIWAYA;Briefcase Sehemu ya 3